Bado kuna utata kuhusu uteuzi wa ODM
Published on: May 02, 2017 08:14 (EAT)
Audio By Vocalize
Wagombea walioshindwa katika mchujo wa chama cha odm hii leo wameendeleza vikao na bodi iliyobuniwa na chama hicho kutatua mzozo unaozunguka kushindwa kwao. Na kama anavyotuarifu mwandishi wetu stephen letoo, wabunge kama vile jakoyo midiwo huenda wakajipata pabaya katika uchaguzi mkuu ujao..


Leave a Comment