Bara la Afrika kufaidi Ksh. Trililioni tatu kutoka Japan
Published on: August 27, 2016 10:09 (EAT)
Audio By Vocalize
Bara la Africa litafaidi dola bilioni 30 au takriban shilingi trilioni 3 kama uwekezaji kutoka taifa la Japan. Mpango huu ambao unatekelezwa kwa ushirikiano baina ya serikali na sekta ya kibinafsi unalenga kuimarisha miundo mbinu, sekta ya afya na udumishaji wa usalama katika kipindi cha miaka mitatu ijayo. Haya yalitangazwa wakati wa ufunguzi rasmi wa kongomano la TICAD hapa jijini..


Leave a Comment