Bunge la Afrika Mashariki
Published on: May 11, 2017 09:27 (EAT)
Audio By Vocalize
Naibu Rais William Ruto amejitosa kwenye mjadala kuhusu wanaopendekezwa kuwa wabunge wa bunge la jumuia ya Afrika Mashariki na kuwakashifu viongozi wa upinzani kwa kuwateua jamaa zao. Hii ni baada ya chama cha wiper kumteuamwanawe Kalonzo Musyoka, Kennedy Kalonzo. Hata hivyo chama cha wiper kimetetea uteuzi huo na kusema kuwa kennedy aliibuka na alama za juu zaidi kati ya watu saba waliotuma maombi wakitaka kuteuliwa na chama hicho.


Leave a Comment