Mabasi Mapya Jijini
Published on: August 24, 2016 07:58 (EAT)
Audio By Vocalize
Sekta ya uchukuzi wa umma inaonekla kuimarika katika jiji la nairobi baada ya wahudumu wa matatu wa kibinafsi kuzindua mabasi mapya ambayo yana uwezo wa kubeba takriban abiria 130 na zaidi kwa wakati mmoja moja.
Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Asasha Elizabeth, hatua hiyo inalenga kupungunguza msongamano wa magari jijini na kuboresha usafiri.


Leave a Comment