Madhara ya ukeketaji
Published on: May 09, 2017 08:59 (EAT)
Audio By Vocalize
Kuna nuru gizani kwa kina mama na wasichana waliokeketwa huku shirika moja likielimisha madaktari humu nchini kwa upasuaji wa aina yake utakaosaidia wasichana kurekebisha sehemu zao nyeti na kurejea kuwa ni kama ambazo hazijakeketwa. Na kama anavyoarifu mwanahabari saida swaleh tayari wanawake 50 wamefanyiwa upasuaji huo unaochukua dakika thelathini tu kukamilika.


Leave a Comment