Mjue rais Faarmajo, wa Somalia
Published on: March 03, 2017 08:42 (EAT)
Audio By Vocalize
Mohamed Abdullahi Mohamed, ambaye anajulikana kwa jina la utani kama Faarmajo, ni rais mpya wa Somalia. Faarmajo alichaguliwa mnamo tarehe 8 February mwaka huu na kuwashinda wapinzani wengine 19 kwenye uchaguzi huo. Kwenye taarifa ifuatayo Swaleh Mdoe anaangazia maisha ya rais huyu mpya wa Somalia na changamoto anazopambana nazo.


Leave a Comment