NASA kuzindua kamati itakayoshughulikia mipango ya kuapishwa
Published on: January 04, 2018 08:18 (EAT)
Audio By Vocalize
Muungano wa upinzani, NASA, utazindua karibuni kamati maalum itakayoshughulikia mipango ya kuapishwa kwa kinara wake Raila Odinga na Kalonzo Musyoka. Wawili hao wakipangiwa kuapishwa tarehe 30 mwezi huu, mikakati ya kongamano la kitaifa la wananchi litakalotoa maazimio ya jinsi taifa litaundwa upya inarejelewa jumapili hii.


Leave a Comment