Rais na naibu wake washindwa kufikia muafaka
Published on: January 11, 2018 08:14 (EAT)
Audio By Vocalize
Uundaji wa baraza la mawaziri unaonekana kuwapa kisunzi Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto. Hapo jana wawili hao walifanya kikao kwa saa nyingi katika ikulu ya Nairobi kujaribu kuafikia orodha kamili ya mawaziri bila muafaka kupatikana.


Leave a Comment