Royal Media Services yatamba
Published on: September 24, 2016 08:57 (EAT)
Audio By Vocalize
Watu wanaoishi na ulemavu kote nchini watanufaika kutokana na mradi wa kuwapa bidhaa za kuwawezesha kujikimu kimaisha iliyozinduliwa na shirika la Kenya Re pamoja na kampuni ya Royal Media Services inayomiliki runinga ya Citizen. Kwengineko ni kuwa wakazi wa nakuru hii leo walipata fursa ya kutangamana na watagangazaji wa Radio Citizen waliozuru mji huo kukutana na mashabiki na kuwatuza


Leave a Comment