Shirika la ILDO) lanyang’anywa leseni
Published on: October 07, 2017 08:26 (EAT)
Audio By Vocalize
Serikali imesimamisha kwa muda shughuli zinazoendelezwa na shirika la kimataifa la kukuza sheria (ILDO), shirika ambalo limekuwa likifanya kazi kwa karibu na mahakama pamoja na maswala ya uchaguzi kwa madai kwamba linaendesha shughuli zake kwa njia isiyostahili.


Leave a Comment