Sonko akosa kupata cheti cha nidhamu kutoka CID
Published on: March 16, 2017 09:18 (EAT)
Audio By Vocalize
Seneta wa Nairobi Mike Sonko huenda asiweze kugombania kiti cha ugavana wa nairobi kwenye uchaguzi mkuu ujao kutokana na kukosa kupata baadhi ya stakabadhi muhimu zinazohitajika kwa uteuzi. Swaleh mdoe anatuarifu zaidi


Leave a Comment