Wasichana wafanya ukahaba walipwe kwa sodo
Published on: October 01, 2017 08:36 (EAT)
Audio By Vocalize
Baadhi ya wasichana kutoka kwa familia maskini huko Busia wanahangaika wakati wa hedhi, kwani kulingana nao wazazi wao wanatelekeza wakidai kwamba sio jukumu lao kununua taulo za sodo na sasa wamesalia kujiuza kwa vijana eneo hilo ili mradi tu wapate bidhaa hiyo ambayo kwao ni adimu.


Leave a Comment