Watu 12 wafariki kutokana na Kipindupindu
Published on: July 21, 2017 09:13 (EAT)
Audio By Vocalize
Idadi ya watu wanaougua maradhi ya kipundupindu kwa jumla humu nchini ni zaidi ya elfu moja huku wale ambao wamefariki wakiwa ni kumi na wawili. Haya yamesemwa na shirika la msalaba mwekundu huku harakati za kupambana na maradhi hayo zikiendelea.


Leave a Comment