Zaidi ya watu 2,500 wakimbia makazi yao Baringo
Published on: May 10, 2017 09:24 (EAT)
Audio By Vocalize
Wakazi wa eneo la muchongoi kaunti ya baringo waliandamana kulalamikia hali tete ya usalama licha ya uwepo wa maafisa wa polisi wanaoendeleza oparesheni katika eneo hilo.
Majambazi waliojihami walivamia kijiji cha hicho na kuiba mifugo wapataomia tano huku wakimjeruhi mtu mmoja vibaya kwa kumpiga risasi.


Leave a Comment