Ababu asema Raila alimsaliti na kumvuruga ndani ya ODM

Kiongozi wa chama cha Labour, Ababu Namwamba amefichua kuwa kuondoka kwake katika chama cha ODM mwaka uliopita kulitokana na mipango ya siri iliyopangwa na viongozi waandamizi wa chama hicho akiwemo Raila Odinga.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories