Afisa wa polisi wa kitengo cha diplomasia afikishwa kortini

Polisi mmoja wa diplomasia ameshtakiwa mahakamani kwa madai ya mauaji ya mfanyibiashara wa umri wa miaka arobaini. Mwanahabari wetu Denis Otieno anatufafanulia zaidi kuhusu taarifa hii na nyinginezo kutoka mahakamani.

Tags:

Babu Owino Chris Obure polisi wa diplomasia

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories