Afisa wa KDF aliyeuawa Somalia azikwa

Serikali imeombwa kusimama imara katika vita dhidi ya magaidi wa ali shabab kule somalia. Matamshi haya yametolewa katika ibada ya mazishi ya mmoja wa maafisa wa kdf aliyeuawa wakati wa shambulizi la kigaidi lililotokea kule kulbiyow, Somalia.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories