Akina mama wajawazito watalazimika kuwa na kadi za NHIF

Kina mama wajawazito hawataweza kupata huduma za kujifungua bila malipo chini ya mpango wa serikali kuanzia Januari mwaka ujao ikiwa hawatasajili na hazina ya bima ya kitaifa ya NHIF. Tayari hospitali kuu ya Kenyatta imetoa ilani kwamba kina mama wahitajike kujisajili kwenye mpango huo. Changamoto sasa ikiwa kwa maelfu ya wateja wasiofahamu kubadilishwa kwa sera hiyo.

Tags:

NHIF

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories