Aliyekuwa meya wa Mombasa Taib Ali Taib ahojiwa

Jopo la kuwateua makamishana wapywa wa tume ya uchaguzi iebc limekamilisha awamu ya kwanza ya kuwahoji wakenya watano walioomba kazi hiyo.
Watano hao wakiwemo mawakili wenye uzoefu wa miaka mingi wameliambia jopo hilo kuwa tatizo muhimu ambalo taifa linafaa kutatua linapojiandaa kwa uchaguzi wa mwaka ujao ni kuhusi mtambo wa kiteknolojia wa kupeperusha matokeo ya urais. Sam Gituku na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories