ANC iko kwenye harakati za kujiunga katika muungano maalum

Muungano wa vyama vya upinzani almaarufu Muungano Maalum sasa unaonekana kuwa na uhakika. Chama cha Amani National Congress kimeidhinisha kujiunga na muungano wa Cord ili kuifurusha Jubilee katika uchaguzi ujao, hatua ambayo imesifiwa na vyama tanzu vya CORD ambavyo vinalinganisha muungano wa upinzani na ule wa NARC uliomwondoa rais mstaafu Daniel Moi uongozini mwaka 2002. Na kama anavyoarifu mwanahabari wetu Faiza maganga, kibarua sasa ni kuafikia atakayepeperusha bendera ya muungano huo, suala la mgombea mwenza, na nafasi watakaopewa viongozi wakuu.

Tags:

Musalia Mudavadi ANC

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories