Ann Waiguru afika mbele ya kamati ya bunge

Aliyekuwa waziri wa ugatuzi anne waiguru amesema kuwa katu hakuhusika na sakata ya NYS. Waiguru ambaye alifika mbele ya kamati ya bunge ya uhasibu amesema kuwa kuna watu fulani walioungana kumhujumu akiwa waiziri wa ugatuzi kwa kudai kuwa ni yeye ndiye anapaswa kujibu maswali kuhusi kupotea kwa shilingi bilioni 1.6 katika nys. Waiguru aidha alikana kuwa hakuwa kutana na wanabiashara Ben Gethi na Josphine Kabura alipokuwa waziri.

Tags:

Ann Waiguru

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories