Ardhi Ya Utata

Rais Uhuru kenyatta amewashtumu waziri wa ardhi Charity Ngilu na mwenyekiti wa tume ya huduma za ardhi Mohamed Swazuri kwa kutozuia unyakuzi wa ardhi ya shule ya Langata uliosababisha maandamano Jumatatu. Kulingana na Rais, wawili hao watachukuliwa hatua zifaazo. Kenyattta vile vile amemwelekezea lawama mwalimu mkuu wa shule hiyo kwa kuwaruhusu wanafunzi kuhuska katika maandamano yaliyohatarisha maisha yao. Lakini je, matamshi ya Rais yatachukuliwa kwa vitendo?

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories