Baadhi ya viongozi wa Ukambani wajiunga na Jubilee

Baadhi ya viongozi wa Ukambani hii leo wametangaza rasmi kuwa watamuunga mkono Rais Uhuru Kenyatta katika uchaguzi wa tarehe 17 mwezi Oktoba. Wakiongozwa na mfanyibiashara Peter Muthoka, na wanasiasa David Musila, Gideon Ndambuki na Kiema Kilonzo kundi hilo limesisitiza kuwa litaongoza kampeni za chama cha Jubilee katika eneo hilo.

latest stories