Baba ajiua baada ya kushindwa kumudu karo ya bintiye
Published on: January 12, 2018 08:28 (EAT)
Mwanamme mmoja mtaani Githurai Ajitoa uhai kwa kukosa karo ya kupeleka mwanawe shule ya upili. Tukio hilo limewaacha majirani vinywa wazi huku zoezi la kuwasajili wanafunzi wa kidato cha kwanza likiendelea.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment