Baba akamatwa kwa kumdhulumu mwanaye, Nyahururu

Polisi huko Nyahururu wamemtia nguvuni mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 34 kwa kosa la kumpiga na kumjeruhi vibaya mwanaye wa kiume. Samwel Gachera anadaiwa kuwa na mazoea ya kumpiga mtoto huyo tangu walipotengana na mkewe miezi saba iliyopita.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories