Baba wa kambo adaiwa kumchoma mtoto

Mtoto wa miaka miwili anaendelea kuuguza majeraha katika hospitali ya rufaa ya Narok, baada ya kupigwa na babake wa kambo. Mtoto huyo anasemekana kuvunjwa mguu na kujeruhiwa vibaya kichwani.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories