Baiskeli ya magurudumu manne inayotumia nishati ya jua kuudwa na kampuni moja nchini

Kampuni moja ya nishati humu nchini imebuni baiskeli ya magurudumu manne ambayo inatumia nishati ya jua kufanya kazi. Baiskeli hiyo, maarufu kama solar e-cycle  inaweza kutumika kama nguvu za umeme na matumizi mengine ya stima majumbani na katika biashara. Ubunifu huu huenda ukaboresha sekta ya usafiri na kueneza nguvu za umeme katika maeneo yaliyo na uhaba kama anavyoarifu Asasha Elizabeth.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories