Bei ya unga inatarajiwa kupanda baada ya wiki moja

Bei ya unga wa mahindi inatarajiwa kupanda mwishoni mwa wiki hii baada ya serikali kusitisha mpango wa unga wa bei nafuu mwishoni mwa mwaka jana. Na kama anavyotuarifu mwanahabari wetu Denis Otieno, baadhi ya Wakenya wamekashifu hatua hiyo.

Tags:

UNGA Willy Bett mahindi subsidised maize flour

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories