Benki ya Co-Operative yaanza kutekeleza sheria ya riba

Benki ya Cooperative imekuwa ya kwanza kutimiza sheria kuhusu viwango vya riba kwa mikopo ya benki ambapo sasa wateja wanaotafuta mikopo mipya watatozwa riba isiozidi asilimia 14.5. Benki hiyo imefanya hayo wazi katika taarifa, hali inayogawanya sekta ya benki wakati ambapo muungano wa mabenki (Kenya Bankers Association) walikuwa wameeleza kwamba sheria hiyo mpya haitatekelezwa hadi pale watapata taarifa zaidi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories