Bodi ya shule yajiuzulu kumtetea mwalimu mkuu Otula

Matatizo ya usimamizi wa shule ya kitaifa ya maseno yanazidi kuwa magumu huku bodi ya usimamizi kujiuzulu. Bodi hiyo yenye wanachama 11 inadai kuhujumiwa na maafisa katika wizara ya elimu kiasi cha wao kutoweza kutekeleza majukumu yao. Wanachama hao wanateta kuhusu kufutwa kazi kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo paul otula.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories