Bunge kubuni sheria ya kudhibiti pata-potea

Kukithiri kwa maeneo ya kuchezea kamari nchini sasa kumeanza kuzua wasiwasi kuhusiana na sheria zinazodhibiti michezo hiyo na athari zake katika jamii. Mbunge wa Gem Jakoyo Midiwo amependekeza mswada mpya ambapo wanaocheza michezo hiyo mtandaoni hawataruhusiwa kutumia zaidi ya shilingi mia mbili. Kadhalika anapendekeza walio na chini ya miaka 25 wapigwe marufuku kushiriki. Mwanahabari wetu Faiza Maganga anatupasha zaidi kuhusu mapendekezo mengine ya mswada wa midiwo.

Tags:

SportPesa Kamari pata-potea

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories