Bunge kufanya kikao maalumu mwezi huu
Published on: January 02, 2017 09:22 (EAT)
Huenda Wakenya saba waliopendekezwa kuwa makamishna wa tume ya uchaguzi na mipaka iebc wakachunguzwa na bunge wiki hii. Kiongozi wa wengi bungeni aden duale anasema kamati ya bunge kuhusu sheria itapokea majina hayo kutoka kwa spika Justin muturi. Bunge la kitaifa linatarajiwa kuandaa kikao maalumu tarehe kumi na nane mwezi huu kupitia na kujadili orodha hiyo ya makamishna wapya.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment