Bunge zima la Seneti kumchunguza Gavana Gachagua

Hatma ya gavana wa Nyeri, Nderitu Gachagua, sasa itabainiwa na bunge la seneti baada ya maseneta kukataa hoja iliopendekeza kubuniwa kwa kamati ndogo kumchunguza Gachagua. Maseneta ambao walipinga hoja hiyo walidai kwamba kamati za awali ambazo zilikuwa zikiwachunguza magavana waliofurushwa na mabunge ya kaunti huenda zilikula rushwa kutoa maamuzi yaliowalinda baadhi ya magavana.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories