Chama cha Wiper chamteuwa Kalonzo

Juhudi za kumtafuta mgombea urais kwa tiketi ya muungano wa Nasa sasa zinakabiliwa na kizuizi cha mkataba wa maelewano wa mwaka 2013 kati ya kiongozi wa Odm Raila Odinga na kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka. Katika mkataba huo viongozi hao waliazimia kuwa kalonzo angemuunga mkono raila mwaka 2013 naye arejeshe mkono katika uchaguzi ujao. Sasa mambo yakionekana kuvurugika kufuatia  kuundw akw amuungano wa nasa ambapo baadhi ya vyama vilivyoshirikishwa havikuwa kwenye mkataba wa raila na kalonzo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories