Chiloba Anatosha

Ezra Chiloba Simiyu amechukua rasmi hatamu ya kuwa mkurugenzi mkuu wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC. Chiloba amekula kiapo hii leo mbele ya Jaji Mkuu Willy Mutunga na mwenyekiti wa tume hiyo Ahmed Isaack Hassan katika majengo ya mahakama ya juu zaidi nchini jijini Nairobi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories