CHOZI LA MAA: Mahangaiko ya wakaazi wa Loitokitok baada ya ng’ombe kunadiwa Tanzania

Ng,ombe huwa sehemu kubwa kwa maisha ya jamii za wafugaji hasa Wamasaai, ikizingatiwa kuwa ndio mali wanayoitegemea kukimu maisha yao. Siku za hivi karibuni hali zimebadilika kwa jamii nyingi zinazoishi eneo bunge la Oloitoktok kaunti ya Kajiado, kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania. Hii ni kufuatia hatua ya serikali ya Tanzania, kupiga mnada ng’ombe za jamii ya Wamaasai waliokuwa wamezipekea malishoni katika taifa hilo kufuatia kiangazi kilichodumu humu nchini.
Kadzo Gunga alifunga safari hadi kwenye maboma yao na kuandaa makala maalum ya CHOZI LA MAA.

Tags:

Chozi la maa Kenya-Tanzania diplomatic row

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories