Christabel Ouko afanyiwa ibada ya wafu CITAM Valley road

Jamaa na marafiki wa marehemu Christabel Ouko ambaye ni mkewe marehemu Robert Ouko walihudhuria ibada ya wafu iliyofanyika mapema hii leo katika kanisa la CITAM hapa jijini Nairobi. Mama Christabel Ouko alifariki terehe 21 mwezi huu kwenye ajali ya barabarani katika barabara kuu ya Kisumu kuelekea Kericho.

Tags:

Robert Ouko Christabel Ouko CITAM valley road

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories