Chuo cha Eldoret TTI kina ng’ombe ambao hujifungua pacha kila mara

Ukulima ni uti wa mgongo wa taifa la Kenya hasa ukulima wa Mhindi, chai, na ng’ombe. Na ingawa ni nadra kuona ng’ombe akizaa ndama wawili kwa wakati mmoja, kuna Ng’ombe ambao wamewashangaza wengi katika chuo cha kitaifa cha mafunzo anuwai cha Eldoret kwani ng’ombe hao huzaa ndama pacha kila msimu.

Tags:

Eldoret TTI heifers ndama

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories