Cord yaapa kutokubali pendekezo la kubadili sheria

Kizazaa kinanukia kati ya Jubilee na Cord, huku bunge la kitaifa likikongamana kwa kikao maalum hapo kesho. Kundi la wabunge wa cord limeapa kupinga pendekezo la kuifanyia mabadiliko sheria ya uchaguzi, ili kuiwezesha tume ya iebc kuwatambua wapiga kura na kupeperusha matokeo ya uchaguzi kwa mtindo wa zamani iwapo mitambo ya kielektroniki itafeli. Huku wana jubilee wakiunga mkono pendekezo hilo, cord inadai hii ni njama ya wizi wa kura. Francis gachuri ana taarifa kamili.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories