COTU, LSK waishambulia Jubilee

Viongozi wa chama cha jubilee wameendeleza lawama zao dhidi ya idara ya mahakama.hii leo naibu wa rais william ruto na viongozi wengine wa chama hicho wakitoa madai kwamba jaji mkuu david maraga amekua akiwateua majaji fulani kusikiza kesi tofauti licha ya majaji hao kuwa na uhusiano wa kifamilia  na baadhi ya washirika kwenye kesi hizo. Hata hivyo mashirika tofauti ukiwemo muungano wa cotu umejitokeza kukashifu matamshi ya rais na naibu wake huku mashirika hayo yakishikilia msimamo kwamba idara ya mahakama iruhusiwe  kufanya kazi bila kuingiliwa.

Makori ongechi anatupa taarifa hiyo kwa kina.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories