Dereva, makondakta 2 wahukumiwa kifo kwa wizi wa mabavu
Published on: July 19, 2017 08:07 (EAT)
Jamaa watatu wamehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya kumnyanyasa kimapenzi msichana mmoja akiwa ndani ya matatu, kisa hiki kilifanyika miaka mitatu iliopita.
Aidha ni kisa ambacho kilizua mjadala mitandaoni baada ya video kusambaa ikionyesha kudhalilishwa kwa mwanamke huyo.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment