DOKEZO LA AFYA | Homa ya Chikungunya

Kuna ugonjwa ambao umeangaziwa mno na vyombo habari baada ya kuzua hofu eneo la pwani kufuatia maafa. Kufikia sasa wizara ya afya ikithibiditisha zaidi ya vifo 30 vilivyotokana na ugonjwa huo unaojulikana kama chikungunya. Ili kuulewa zaidi ugonjwa huo Nilizungumza na Daktari Salim Ali Hussein aliyenipa ufanunuzi katika dokezo la afya linalofuata sasa.

Tags:

Dokezo La Afya Chikungunya

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories