Eneo lenye mazao mengi licha ya ukame, Mandera

Wakaazi wengi katika kaunti ya Mandera na kaskazini mashariki mwa nchi wanafahamika sana kwa ufugaji ambao ndio raslimali yao kubwa. Hata hivyo, mara nyingi mifugo wao huangamia kutokana na ukame. Lakini kuna wale ambao wamebadili taswira hiyo kwa kufanya kazi ya ukulima na kuweza kupata manufaa makubwa kama anavyorifu mwanahabari wetu Nasteha Mohammed.

Tags:

Mandera ukame ukulima kilimo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories