Familia 22 Zatakiwa Kuhama Baba Dogo

Familia 22 katika mtaa wa Babadogo zimeamrishwa kuhama nyumba ambayo wamekuwa wakipangisha, baada ya jengo lao kutajwa kama lisilohitimu watu kuishi, huku mwenye nyumba akitakiwa kubomoa nyumba hiyo mara moja.

Amri hiyo imetolewa na serikali ya kaunti ya Nairobi ambayo maafisa wake wamefika mtaa huo mapema leo, katika mpango unaonuiwa kuhakikisha majengo yalio na hitilafu za ujenzi yamebomolewa. Sam Gituku na taarifa hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories