Familia ya Nyenze na Mwendwa zapigania tiketi ya Wiper Kitui
Published on: January 16, 2018 08:34 (EAT)
Kura ya mchujo inayolenga kupata mwaniaji wa chama cha Wiper kwenye uchaguzi wa eneo bunge la Kitui Magharibi ilifanyika hii leo. Maluki Kitili na Edith Nyenze, ambaye ni mjane wa aliyekuwa mbungu wa eneo hilo marehemu Francis Nyenze, wanapigania nafasi hiyo kwa chama cha Wiper. Haya yanajiri huku mahakama ya juu leo hii ikitupilia mbali kesi iliyonuia kupinga uchaguzi wa TJ Kajwang’ kama mbunge wa enero la Ruaraka kaunti ya Nairobi.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment