Familia ya watoto waliouwawa yaongea

Mauaji ya watoto watatu  waliouawa katika eneo la kaspoya kaunti ya uasin gishu yamewaacha wengi vinywa wazi huku mshukiwa mkuu ambaye ni mjomba wao akitarajiwa kufikishwa mahakamani hapo kesho.  Mama yao amesalia na kilio cha haki itendeke huku familia yake ikijiuliza ni kipi walichokosea watoto hao kupitia udhalimu wa aina hiyo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories