Familia za wanajeshi wa KDF zaendelea kuomboleza

Familia za wanajeshi wa KDF waliyopoteza maisha huko Kulbiyow zinaendelea kuzika jamaa zao. Katika mazishi ya waathiriwa wawili, moja katika kaunti ya Baringo na nyingine katika kaunti ya Meru, waombolezaji walitoa wito kwa serikali kufikiria upya kuwepo kwa wanajeshi wa KDF huko Somalia.

Tags:

KDF somalia Kulbiyow

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories