Francis Gachuri na Jane Gatwiri wa NTV washambuliwa

Mwanahabari wa runinga ya Citizen Francis Gachuri na mpiga picha wa runinga ya NTV Jane Gatwiri wamedhulumiwa na watu wasiojulikana katika makao makuu ya chama cha Wiper hapa jijini, Nairobi. Kinara wa NASA Raila Odinga hata hivyo ameomba msamaha kutokana na tukio hilo akisema kuwa swala hilo lilikuwa la kuvunja moyo.

Tags:

raila odinga Joe Mucheru Citizen TV Editors Guild Francis Gachuri NASA NTV Jane Gatwiri Jane Ngoiri

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories