Francis Nyenze azikwa nyumbani kwake eneo la Kabati, kitui

Hatimaye mwili ya mwenda zake aliyekuwa mbunge wa Kitui Magharibi Francis Nyenze umezikwa nyumbani kwake kaunti ya kitui. Kinara wa NASA Raila Odinga na spika wa bunge Justin Muturi ni miongoni mwa maelfu waliohudhuria mazishi hayo.

Tags:

kitui Francis Nyenze Kabati

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories