Fuata Nyuki

Fuata Nyuki

Msemo fuata nyuki ule asali ni msemo ambao wenyeji wa kabichoi Kaunti ya Elgeyo Marakwet wameamua kuukumbatia maishani katika uzalishaji wa asali. Kwa miaka sasa kabla ya kurina asali wenyeji wa kabichoi wamekuwa wakivua nguo na kujipaka matope yanayosemekana kuzuia usena au mishale ya nyuki. Mwanahabari wetu Pheona Kengah alizuru eneo hilo na kutuandalia taarifa ifuatayo kuwa asali pia inaweza kurinwa bila nguo tofauti na dhana ya wengi…

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories